iqna

IQNA

Zawadi ya Mustafa
Wanawake katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Mustafa(SAW) ya Sayansi na Teknolojia hivi karibuni iliandaa jopo la kisayansi kwa ushirikiano na Jukwaa la Kimataifa la Wanawake katika Sayansi ili kujadili mustakabali endelevu unaojumuisha jinsia kupitia sayansi, teknolojia na uvumbuzi.
Habari ID: 3475793    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16